• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Newsletter
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Jiji latafuta wawekezaji Kituo cha kuegesha malori Nala

Imewekwa tarehe: November 24th, 2020

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetangaza fursa za uwekezaji katika kituo kikuu cha kuegesha magari makubwa ya mizigo kilichopo Nala kwa wawekezaji mbalimbali kuwekeza katika kituo hicho.

Kauli hiyo ilitolewa na Mchumi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Fred Robert alipokuwa akiwasilisha mada juu ya fursa za uwekezaji katika Jiji la Dodoma kwenye mkutano wa Taasisi ya sekta binafsi  Tanzania (Tanzania Private sector breakfast meeting) uliofanyika katika hoteli ya Dar es Salaam Serena.

Robert alisem kuwa Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekamilisha ujenzi wa kituo kikubwa kwa ajili ya maegesho ya magari makubwa ya kusafirishia mizigo katika eneo la Nala.

Akiongelea fursa zilizopo katika kutuo hicho, alisema kuwa vipo viwanja vilivyopimwa kuzunguka eneo hilo. “Fursa zilizopo ni viwanja kwa ajili ya ujenzi wa maghala kwa ajili ya kupakilia, kushushia na kuhifadhia mizigo. Fursa ya kujenga nyumba za kulala wageni na migahawa kuzunguka kituo cha kuegesha magari makubwa ya mizigo” alisema Robert.

Fursa nyingine katika eneo hilo alizitaja kuwa ni maduka mbalimbali ya vipuli na bidhaa za rejareja. Nyingine ni maeneo kwa ajili ya matengezo ya magari na maeneo ya kuoshea magari, aliongeza.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF), Zachy Mbenna amesifu uwekezaji huo wa miradi ya kimkakati ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na ameshukuru Jiji kuona umuhimu wa kuwatembelea katika mkutano wao, "tutashirikiana kufanikisha hili" alisema Mbenna.

Baadhi ya picha za eneo la uegeshea malari Nala


Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Jjiji la Dodoma December 19, 2020
  • USIKOSE, kuona orodha ya wanafunzi waliofaulu Darasa la Saba 2020 December 18, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MHASIBU - DOYODO December 14, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA, 2020 November 27, 2020
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Wanafunzi walemavu wanunuliwa vifaa vya bilioni 2.8

    January 14, 2021
  • Huduma ya maji Jijini yaendelea kuboreshwa

    January 14, 2021
  • Barabara za lami Mji wa Serikali kukamilika Julai

    January 13, 2021
  • Nataka kila mtumishi apande miti 10 – RC Mahenge

    January 09, 2021
  • Angalia zote

Video

Jiji la Dodoma lapongezwa kutenga eneo la msitu mjini
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.