• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wanafunzi walemavu wanunuliwa vifaa vya bilioni 2.8

Imewekwa tarehe: January 14th, 2021

KATIKA kuhakikisha kila mtoto anapata Elimu bora bila kujali hali aliyonayo, serikali imenunua vifaa wezeshi vyenye thamani  ya zaidi ya Tsh.Bilioni 2.8  vitakavyonufaisha wanafunzi wenye mahitaji Maalum 18,488 kote nchini.

Akizungumza leo Januari 14, 2021  katika zoezi la uzinduzi wa vifaa hivyo wezeshi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum, zoezi ambalo limefanyika Shule ya Sekoandari Dodoma,Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo amesema   jumla ya vifaa Wezeshi 51,339  vimetolewa kwa watoto wenye mahitaji maalum 18,488 lengo ni kuhakikisha kila motto anapata elimu bora.

Aidha,Waziri Jafo amefafanua kuwa zaidi ya Tsh.Trioni 1.03 zimetolewa  na Serikali kwa ajili ya elimu bila malipo hadi  kufikia Mwishoni Mwa  Mwaka jana.

Hata hivyo ,Waziri Jafo amesisitiza utunzaji wa vifaa vipya vilivyotolewa ili viweze kusaidia wenye uhitaji kwa muda mrefu.

Kwa upande Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,TAMISEMI   Mhandisi Joseph Nyamhanaga amesema vifaa hivyo vinalenga kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum wakiwemo Wenye ulemavu wa akili,ulemavu wa viungo ,wasioona,viziwi,uoni hafifu ,ulemavu wa ngozi    huku akibainisha kuwa shule zinazohudumia wenye mahitaji maalum zimeongezeka kwa asilimia 46.1 % ikiwa  elimu ya Msingi  23.9% ,sekondari ni asilimia 24.6%     .

Aidha,Mhandisi Nyamhanga amebainisha idadi ya wanafunzi wenye ulemavu waliohitimu elimu ya msingi na kujiunga na elimu ya Sekondari imeongezeka kutoka asilimia 69.9% (wanafunzi 1117) kwa mwaka 2016 hadi asilimia 76.3% (Wanafunzi 2534) kwa mwaka 2020  huku bilioni 42.3 zimetumika kama chakula kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika kipindi cha miaka mitano.

Mkurugenzi anayeshughulikia  Elimu Maalum  Ofisi ya Rais ,TAMISEMI Julius Migeha  amesema serikali inaendesha zoezi la kubaini Watoto wenye mahitaji maalum katika kata zote 3956 kote nchini  ambapo ametoa wito kwa wazazi kutoa ushirikiano huku Mwanafunzi mwenye Mahitaji Maalum Jackline Lazaro akitoa shukrani kwa kupata msaada huo.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 - Awamu ya Pili February 19, 2021
  • Tangazo la Mnada wa Hadhara February 15, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Nne, cha Pili na Darasa la Nne 2020 haya hapa January 15, 2021
  • Zoezi la upandaji miti watumishi wote January 15, 2021
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Wizara ya Afya kutumia panyabuku kubaini Kifua Kikuu

    February 26, 2021
  • Mshambuliaji Anwary Jabir aweka rekodi ligi kuu, 'apewa' uchezaji bora

    February 25, 2021
  • Jiji katika opesheni ya kujiimarisha kimapato

    February 25, 2021
  • Waziri Gwajima asisitiza tahadhari zaidi ya magonjwa

    February 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata kusimamia usafi wa mazingira katika kata zao
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.