Imewekwa tarehe: February 20th, 2024
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Mifuko ya Pensheni nchini imeweka utaratibu wa kuhakiki wastaafu kwa kutumia mifumo ya TEHAMA.
...
Imewekwa tarehe: February 19th, 2024
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum amezindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya ushauri kuhusu ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni sambamba na uzinduzi wa Kampeni ya Ulinzi na U...
Imewekwa tarehe: February 18th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, amefungua mafunzo ya siku moja kwa Maafisa biashara, Maafisa Maendeleo ya jamii na Maafisa TEHAMA juu ya usajili wa wafanyabiashara ndogondogo kwenye Mfumo w...