Imewekwa tarehe: April 5th, 2023
WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu-Umoja wa Viongozi wa Malaria Afrika Joy Phumaphi.
Katika mazungumzo yao Waziri Ummy ametoa shukrani Kwa niaba ya Serikali ...
Imewekwa tarehe: April 4th, 2023
WAKUU wa mikoa yote Tanzania Bara wamepewa elimu juu ya biashara ya hewa ukaa nchini ambayo itasaidia kuongeza mapato na kuimarisha utoaji wa huduma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Hayo yameel...
Imewekwa tarehe: April 3rd, 2023
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI ayesimamia elimu, Dkt. Charles Msonde amewaagiza Walimu Wakuu wa shule za msingi na wasimiamazi wa elimu kufuatilia ufundishaji na ujifunzaji shuleni na kuhaki...