Imewekwa tarehe: August 17th, 2024
Na. Valeria Adam, DODOMA
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza rasmi ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024, ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.
...
Imewekwa tarehe: August 16th, 2024
Na. Anna Stanley, DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamedi Mchengerwa ametoa tangazo la uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka na uchaguzi utafanyi...
Imewekwa tarehe: August 15th, 2024
Na; Francisca Mselemo
MKUTANO wa mwaka wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dodoma umefanyika Leo Agosti 15,2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Jiji, ukiwa na ajenda muhimu za kujadili &nb...