Imewekwa tarehe: November 3rd, 2022
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Serikali imetenga shilingi Bilioni 10.7 kwa ajili ya kutekeleza Mpango Mkakati wa Tatu wa Kitaifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza.
Dk...
Imewekwa tarehe: November 2nd, 2022
Na. Theresia Nkwanga, DODOMA
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametoa wito kwa wanufaika wa mkopo wa asilimia 10 ya Halmshauri kuhakikisha wanarejesha fedha za mikopo kama sheria inavyowat...
Imewekwa tarehe: November 2nd, 2022
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
SERIKALI ya Mkoa wa Dodoma imevitaka vikundi vinavyokopeshwa mikopo ya asilimia 10 ya fedha za mapato ya ndani na kukaidi kurudisha mikopo hiyo kufikishwa mahakamani ili s...