Imewekwa tarehe: July 11th, 2022
Waziri Muu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa kingo za mto ngombe katika eneo la Tandale kwa mtogole, leo Julai 11, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na wananchi wa eneo hilo Mheshimiwa Majali...
Imewekwa tarehe: July 8th, 2022
PM akabidhi mikopo kwa vi vikundi vya wajasiriamali Ruangwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2022 amekabidhi mikopo yenye jumla ya shilingi 256,158,000 iliyotolewa na Halmashauri ya Wilaya...
Imewekwa tarehe: July 7th, 2022
NAIBU WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde ameielekeza Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kuhakikisha matokeo ya tafiti inazofanya yanawafikia wakulima kwa wakati ili kuongeza tija na kipa...