Imewekwa tarehe: May 18th, 2022
WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wananchi kutokuamini taarifa za upotoshaji zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu chanjo nchini.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo katika uzinduzi ...
Imewekwa tarehe: May 16th, 2022
SERIKALI imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kujenga Hospitali ya Taifa ya Magonjwa ya Mama na Mtoto Jijini Dodoma ili kuimarisha huduma za tiba kwa magonjwa ya wanawake na watoto.
...
Imewekwa tarehe: May 15th, 2022
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka watanzania waunge mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuitangaza kwa bidii filamu ya Royal Tour pamoja na vivutio mbalimbali vilivyok...