Imewekwa tarehe: November 26th, 2021
AFISA Kilimo katika halmashauri ya Jiji la Dodoma Athumani Mpanda amesema wakulima wa wilaya ya Dodoma watapata mbegu za kutosha za zao la alizeti zinazouzwa Halmashauri hiyo kwa ajili ya msimu mpya w...
Imewekwa tarehe: November 22nd, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini ikiwemo wilaya ya Ruangwa, hivyo ni lazima fedh...
Imewekwa tarehe: November 22nd, 2021
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wateja wote walioomba kumilikishwa viwanja jijini humo kulipa au kumalizia fedha za viwanja hivyo kabla ya Disemba Mosi mwaka huu vinginevyo watanyang'anywa na ...