Imewekwa tarehe: October 17th, 2021
WALIMA Zabibu kutoka Makao Makuu ya Nchi Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana wakiwa ugenini dhidi ya Mbeya Kwanza ya Mbeya.
Mchezo huo ulichezwa Leo tarehe 17/10/2021 katika Dimba ...
Imewekwa tarehe: October 16th, 2021
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
UHIFADHI na utunzaji wa mazingira ni wajibu wa jamii nzima kwa lenygo la kujiondoa katika wimbi la umasikini na kujiletea maendeleo nchini.
Kauli hiyo ilitolewa na Wazi...
Imewekwa tarehe: October 15th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ametembelea Shule ya Sekondari Chihanga kuangalia maendeleo ya shule pamoja na kuwasalimia na kuwatakia kheri wanafunzi wa kidato cha IV waliow...