Imewekwa tarehe: October 6th, 2021
UONGOZI wa Zahanati ya Nala umetakiwa kujipanga kuwatembelea wananchi katika maeneo yao na kuwaelimisha ili waweze kuchanja chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na virusi vya Korona.
...
Imewekwa tarehe: October 6th, 2021
MBUNGE Jimbo la Dodoma Mjini, Mhe. Anthony Mavunde amekabidhi matofali 5,000 yenye thamani ya shilingi milioni nane kwa uongozi wa Kata ya Mpunguzi Jijini Dodoma sambamba na saruji mifuko 100 kwa ajil...
Imewekwa tarehe: October 6th, 2021
Na Munir Shemweta, WANMM CHEMBA
SERIKALI imevibakisha vijiji 40 kati ya 42 ambavyo wananchi wake walikuwa wakiishi na kuendesha shughuli zao kwenye maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba katika mkoa ...