Imewekwa tarehe: August 25th, 2021
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo amefungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) na kupata nafasi ya kuzungumza na wanachama wa chama hicho katika ukumbi wa Royal Village,...
Imewekwa tarehe: August 24th, 2021
MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini (DC), Jabir Shekimweri ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA), kwa kuongeza makusanyo ya mwezi kutoka shilingi Bilioni 1.3 mpaka shi...
Imewekwa tarehe: August 24th, 2021
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeanza kupokea shilingi Bilioni 22 kutoka Wizara ya Fedha na Mipango zitokanazo na tozo ya Mawasiliano na fedha hizo zinakwenda kujenga v...