Imewekwa tarehe: May 7th, 2024
WATAHINIWA wa Kidato cha Sita 113,504 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2024 ambapo kati yao Watahiniwa wa Shule ni 104,449 na Watahiniwa wa Kujitegemea ni 9,055.
Kati ya Watahiniwa w...
Imewekwa tarehe: May 6th, 2024
NAIBU Katibu Mkuu anaeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amesema kuwa Serikali inatambua changamoto za Walimu zikiwemo upandaji wa madaraja,malimbikizo ya mishahara,malipo ya uhamisho pamoja malipo...
Imewekwa tarehe: May 5th, 2024
NAIBU Karibu Mkuu Wizara ya Tamisemi anaeyeshughulikia Elimu Dkt. Charles Msonde amewataka walimu kutumia moja ya Kanuni za kuchunguza uwezo wa mwanafunzi na kutumia nyezo zitakazomwezesha mwanafunzi ...