Imewekwa tarehe: April 23rd, 2021
Serikali imesema kuanzia mwaka ujao wa fedha utaratibu wa vipaumbele vya barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) utapitishwa na Baraza la Madiwani.
Akihitimisha...
Imewekwa tarehe: April 23rd, 2021
Meshimiwa Spika;
Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema na Rehma zake, niruhusu niseme kuwa ni miaka takriban 6 imepita tangu niondoke kwenye Jengo hili adhimu – Bunge la Jamhuri ya Muungano ...
Imewekwa tarehe: April 23rd, 2021
TIMU ya soka inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dodoma Jiji FC imeibana mbavu timu ya Azam FC na kugawana alama moja katika mchezo uliochezwa ndani ya dimba la Jamhuri mchezo uliomalizika...