Imewekwa tarehe: April 20th, 2021
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wawekezaji kuwaalika marafiki zao nje ya mipaka ya Tanzania kuja kuwekeza Tanzania kwa kuwa kuna miundombinu rafiki katika sekta ya uwekezaji nchini.
Ali...
Imewekwa tarehe: April 19th, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 18 Aprili, 2021 amehudhuria kongamano la viongozi wa Dini lililofanyika katika ukumbi wa Chimwaga Jijini Dodoma kwa lengo l...
Imewekwa tarehe: April 19th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge amewataka wakazi wa mkoa huo kuchangamkia elimu inayotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa kuwa ina umuhimu mkubwa katika kujikwam...