Imewekwa tarehe: January 23rd, 2021
Zoezi la upandaji miti limeendelea leo katika kata ya Mkonze ambapo wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkonze wameitikia wito huo na kupanda miti kwenye maeneo yanayozunguka shule yao.
Elimu ya upandaji ...
Imewekwa tarehe: January 22nd, 2021
SERIKALI ipo kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kunakuwepo na uondoshaji mkubwa wa maji taka katika Jiji la Dodoma unaojumuisha ujenzi wa kilomita 250 za mabomba pamoja na mabwawa 16 yatakayojengwa...
Imewekwa tarehe: January 20th, 2021
NAIBU Meya wa Halmashauri ya jiji la Dodoma Emmanuel Chibago amesema tatizo la upungufu wa madarasa katika Halmashauri hiyo litamalizwa kufikia katikati ya mwezi Februari kutokana na mkakati na juhudi...