Imewekwa tarehe: November 27th, 2020
MKURUGENZI wa kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi ametoa wito kwa Waganga Wakuu wa mikoa wote kutumia mbinu mbali mbali ili kuutokomeza ugonjwa wa ukoma...
Imewekwa tarehe: November 26th, 2020
TAASISI ya Maendeleo ya Vijana mkoani Dodoma (DOYODO) imepongezwa kwa kuwakutanisha wadau na kuweka mikakati ya pamoja ya kutokomeza mimba za utotoni jijini Dodoma.
Pongezi hizo zilitolewa na Mgeni...
Imewekwa tarehe: November 26th, 2020
MENEJIMENTI ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa ubunifu wake kwa kutoka ofisini na kuwafuata wateja wa viwanja katika maeneo yao ya kazi kuwasogezea huduma hiyo na kuwaepusha na vishoka.
...