Imewekwa tarehe: October 31st, 2020
NDEGE kubwa aina ya Airbus A220-300 yenye uwezo wa kubeba abiria 132 na kutumia muda wa dakika 45 kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam, imetua kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege...
Imewekwa tarehe: October 31st, 2020
MGOMBEA nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 84 ya kura zote zilizopigwa.
Kauli hiyo ilito...
Imewekwa tarehe: October 30th, 2020
TIMU ya Dodoma Jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma inatarajia kushuka dimbani kesho Jumamosi Oktoba 31, 2020 kwenye dimba la Majaliwa wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi kuwakabili...