Imewekwa tarehe: November 15th, 2020
Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Mabara wa uzito wa Super Welter wa WBF kwa kumsulubu kwa ‘Technical Knock Out’ (TKO) raundi ya nne bondia kutoka Argentina Jose Carlos Paz.
...
Imewekwa tarehe: November 15th, 2020
Timu ya Taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 17 (U-17) ‘Tanzanite Queens’ imeibuka bingwa wa mashindano ya soka ya wanawake ya Nchi za Kusini mwa bara la Afrika...
Imewekwa tarehe: November 14th, 2020
Akiyekuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa serikali ya awamu ya tano kipindi cha kwanza, Ummy Mwalimu ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuwa na uwanja wa kisa...