Imewekwa tarehe: January 6th, 2021
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeanza kutekeleza mpango wa kutoa vibali vya ujenzi katika Kata zote 41 za Jiji hilo hususan kwenye maeneo ambayo yameshapimwa na kumilikishwa kwa ajili ujenzi wa makazi...
Imewekwa tarehe: January 5th, 2021
WAZIRI wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi.
Waziri Lukuvi ali...
Imewekwa tarehe: January 5th, 2021
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetangaza kuanza kwa matumizi ya Tiketi za Kieletroniki kwenye mabasi yanayokwenda mikoani na kwa watakaoshindwa kufanya hivyo wametakiwa kusitisha utoa...