Imewekwa tarehe: October 15th, 2020
Watanzania wamekumbushwa kuzingatia kanuni za afya na kuchukua tahadhari ili kuweza kujikinga na magonjwa ya mlipuko kufuatia kuanza kunyesha kwa mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ikiwemo Mkoa wa Dar...
Imewekwa tarehe: October 14th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge amemuagiza Mhandisi wa Maji (RUWASA) Wilaya ya Mpwapwa katika eneo la Mtera kukarabati kwa wakati miundombinu ya upelekaji maji kutoka katika bwawa ...
Imewekwa tarehe: October 13th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Oktoba, 2020 ameshuhudia kampuni ya Twiga Minerals na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) likitoa gawio kwa Serikali ku...