Imewekwa tarehe: May 7th, 2020
WANAFUNZI wote wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kufuatilia vipindi vinavyoendelea katika redio zilizopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma ili waweze k...
Imewekwa tarehe: May 6th, 2020
AFISA Elimu Msingi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwalimu Joseph Mabeyo anaridhishwa na muitikio chanya wa wanafunzi katika vipindi vya masomo vinavyoendelea katika redio mbalimbali za Halmashauri ...
Imewekwa tarehe: May 6th, 2020
Redio za ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma zimekuwa na mchango mkubwa katika kuwafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 ...