Imewekwa tarehe: April 3rd, 2020
MAMLAKA ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA) imetoa ndoo 40 za kunawia mikono pamoja na mifuko miwili ya sabuni katika kuunga mkono vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa...
Imewekwa tarehe: April 1st, 2020
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa wataalam wa Sekta ya Afya kuendelea kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
...
Imewekwa tarehe: April 1st, 2020
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, amesoma hotuba ya mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali, pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 202...