Imewekwa tarehe: October 3rd, 2019
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka huu, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewaapisha watumishi 263 kuwa wasimamizi wasaidizi wa ngazi ya Kata na Mitaa ndani ya Wilaya ya Dodoma mjini na kuwa...
Imewekwa tarehe: October 3rd, 2019
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dkt. Hassan Abbas amesema, Serikali imetumia zaidi ya sh. bilioni 336/- kutekeleza miradi ya maji na upatikanaji wa maji umeongezeka sana.
Amesema jijini Dar es...
Imewekwa tarehe: October 3rd, 2019
SERIKALI inaandaa mkakati wa kitaifa wa kudhibiti kichaa cha mbwa, wenye lengo kuu la kutokomeza ugonjwa huo ifi kapo mwaka 2030. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jam...