Imewekwa tarehe: October 9th, 2019
WANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika vituo vya uandikishaji na siku ya kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaoendana na kasi ya Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais ...
Imewekwa tarehe: October 8th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imebuni vyanzo mbadala vya mapato nje ya viwanja katika kuhakikisha inapunguza utegemezi wa mapato ya viwanja na inakua na mapato endelevu wakati wote.
Mkurugenzi wa J...
Imewekwa tarehe: October 6th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezindua barabara ya Tunduma - Laela - Sumbawanga yenye urefu wa kilometa 223.2 ambayo ni sehemu ya barabara kuu katika ushoroba...