Imewekwa tarehe: November 9th, 2019
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefanikiwa kuwaburuza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika mchezo wa kuvuta kamba wanaume.
Katika mchezo huo ulioshuhudi...
Imewekwa tarehe: November 9th, 2019
JAMII imeshauriwa kufanya mazoezi mbalimbali ya mwili ili kuepuka kuugua magonjwa yasiyo ya kuambukiza na gharama kubwa za matibabu.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa n...
Imewekwa tarehe: November 8th, 2019
WANANCHI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma na viunga vyake wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika wiki ya maadhimisho ya kitaifa ya kupinga magonjwa yasiyoambukiza na kushiriki michezo mbalimbali katik...