Imewekwa tarehe: November 26th, 2019
MFUKO wa uhifadhi mazingira na wanyama pori duniani (WWF) kwa kushirikiana na Vodacom Foundation Tanzania wakiwa sambamba na Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamefanya usafi katika soko la Chang’ombe Jij...
Imewekwa tarehe: November 24th, 2019
ZOEZI la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za mitaa katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma limefanyika katika hali ya amani na usalama likishughudia mamia ya wananchi wakijitokeza.
Kauli hiyo imetole...
Imewekwa tarehe: November 24th, 2019
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli amewashauri wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi na Mashirika mbalimbali ambayo serikali ina hisa kuwekeza katika Jiji la Dodoma.
...