Imewekwa tarehe: June 24th, 2019
MADIWANI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshauriwa kuwa mabalozi wa masuala ya lishe kwa wananchi wanaowaongoza ili kukabiliana na changamoto ya lishe.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa...
Imewekwa tarehe: June 24th, 2019
Serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya mirathi na uandishi wa wosia ili kuondoa migogoro inayowakabili wajane nchini kutokana na kudhulumiwa haki zao.
Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri...
Imewekwa tarehe: June 23rd, 2019
WAJANE nchini wameiomba Serikali kuwapa kuandaa sera ya Taifa itakayowatambua kama kundi maalum katika jamii ili haki zao ziweze kulindwa.
Wametoa kauli hiyo imetolewa wakati wa maandamano yaliyohi...