Imewekwa tarehe: July 21st, 2019
Utaratibu wa kufanya usafi kila Jumamosi kwa wananchi wa Jiji la Dodoma uliendelea wiki hii karika maeneo mbalimbali ya Jiji.
Akizungumza baada ya kumalizika zoezi la usafi katika Kituo cha A...
Imewekwa tarehe: July 20th, 2019
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amelishauri Shirika la Umoja wa Machinga Tanzania kuhamishia makao yake makuu mjini Dodoma.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akipokea ch...
Imewekwa tarehe: July 19th, 2019
SHIRIKA la umoja wa Machinga Tanzania limetakiwa kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Mafuguli kutaka Machinga wafanye shughuli zao pasipo kusumbuliwa na mamlaka ny...