Imewekwa tarehe: June 5th, 2019
Serikali imekipongeza Kituo cha Afya cha Makole kilichopo katika jiji la Dodoma kwa jitihada zake za kuboresha huduma za tiba, na kupelekea ongezeko kubwa la wateja kutoka 25,480 waliokuwa wakipata hu...
Imewekwa tarehe: June 4th, 2019
MRADI wa ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi unaojengwa katika Halmashauri ya jiji la Dodoma umefikia asilimia 59 na kuwafanya wakazi na wageni kufurahia hatua hiyo.
Hayo yamesemwa na Mhandisi ms...
Imewekwa tarehe: June 4th, 2019
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa kutekeleza agizo la kisheria la serikali la kutenga na kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo isiyo na riba ya wanawake, vijana na watu ...