Imewekwa tarehe: April 28th, 2018
MADIWANI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameingia kwenye historia ya kuwa wageni wa kwanza kufanya ziara ya kubadilishana uzoefu katika Halmashauri ya Jiji jipya la Dodoma mara baada ya iliyokuwa Ma...
Imewekwa tarehe: April 26th, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli ameupandisha hadi Mji wa Dodoma kutoka Halmashauri ya Manispaa na kuwa Halmashauri ya Jiji, na amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispa...
Imewekwa tarehe: April 23rd, 2018
Kazi ya uuzaji wa Viwanja 10,684 imeendelea leo Jumatatu Aprili 23, 2018 katika eneo la Ofisi Kuu ya zamani ya Manispaa zilizopo jirani na Sabasaba.
Zoezi hilo lilianza siku ya Ijumaa Aprili 20, 20...